GCA Forum APP GCA Forum ni jukwaa linaloundwa na watu waliosoma pamoja Gwenyeza Ortaokulu na kuhitim kidato cha nne mwaka 2014, Lengo la jukwaa hili ni kusaidiana katika matatizo na raha pamoja na kusaidia jamii inayotuzunguka kama kutoa shukran kwa Elimu Devamı