GCA Forum APP Fórum GCA ni jukwaa linaloundwa na watu waliosoma pamoja Gwenyeza Escola secundária na kuhitim kidato cha nne mwaka 2014, Lengo la jukwaa hili ni kusaidiana katika matatizo na raha pamoja na kusaidia jamii inayotuzunguka kama kutoa shukran kwa Elimu Ler mais