Tunzaa icon

Tunzaa

1.2.2

Fanya manunuzi ya bidhaa na huduma mbalimbali kwa kulipia kidogo kidogo

Nazwa Tunzaa
Wersja 1.2.2
Aktualizuj 04 sie 2024
Rozmiar 16 MB
Kategoria Zakupy
Instalacje 10tys.+
Deweloper Tunzaa Fintech Inc.
Android OS Android 4.4W+
Google Play ID com.tunzaa
Tunzaa · Zrzuty ekranu

Tunzaa · Opis

Tunzaa inakuwezesha kufanya malipo ya bidhaa na huduma kwa kiwango kidogo cha pesa kwa kasi yako mwenyewe moja kwa moja kutoka kwenye simu yako ya mkononi ili iwe rahisi kufikia malengo na mipango yako.

BIDHAA HALISI NA HUDUMA ZENYE UBORA WA JUU.

Tunzaa inahakikisha ubora wa huduma kwa wateja kwa kukagua watoa huduma wetu na pia tunazingatia bidhaa halisi na huduma zenye ubora wa juu.

FUATILIA MALIPO YAKO

Tunzaa inakupa uwezo wa kufuatilia kila pesa unayoweka kwa ajili ya lengo maalum, kama nikczemny kununua vifaa vya nyumbani, vifaa vya umeme i mtindo na mavazi au safari.

JIPIMIE

Kuwa huru kujipangia muda wa kukamilisha malipo na Tunzaa.

TAFUTA

Urahisi wa kutafuta bidhaa yoyote kwa haraka.

UJUMBE

Pokea ujumbe wa kukumbusha kutunza pesa mara kwa mara.

MALENGO

Timiza malengo yako kwa kufanya malipo kwa usalama zaidi.

MATUMIZI

Epuka matumizi mabaya kwa kuzuia kutoa pesa hadi lengo litimie.

ZAWADI

Wanunulie zawadi wapendwa wako kupitia Tunzaa.

Tunzaa 1.2.2 · Pobierz Bezplatnie

4,1/5 (38+ Opinie)

Old Versions

Wszystkie wersje