Tunzaa icon

Tunzaa

1.2.2

Fanya manunuzi ya bidhaa na huduma mbalimbali kwa kulipia kidogo kidogo

Name Tunzaa
Version 1.2.2
Aktualisieren 04. Aug. 2024
Größe 16 MB
Kategorie Shopping
Installationen 10Tsd.+
Entwickler Tunzaa Fintech Inc.
Android OS Android 4.4W+
Google Play ID com.tunzaa
Tunzaa · Screenshots

Tunzaa · Beschreibung

Tunzaa inakuwezesha kufanya malipo ya bidhaa na huduma kwa kiwango kidogo cha pesa kwa kasi yako mwenyewe we moja kwa moja kutoka kwenye simu yako ya mkononi ili iwe rahisi kufikia malengo na mipango yako.

BIDHAA HALISI NA HUDUMA ZENYE UBORA WA JUU.

Tunzaa inahakikisha ubora wa huduma kwa wateja kwa kukagua watoa huduma wetu na pia tunazingatia bidhaa halisi na huduma zenye ubora wa juu.

FUATILIA MALIPO YAKO

Tunzaa inakupa uwezo wa kufuatilia kila pesa unayoweka kwa ajili ya lengo maalum, kama vile kununua vifaa vya nyumbani, vifaa vya umeme & mtindo na mavazi au safari.

JIPIMIE

Die Zeit, in der Tunzaa die Welt erkundete, war groß.

TAFUTA

Urahisi wa kutafuta bidhaa yoyote kwa haraka.

UJUMBE

Pokea ujumbe wa kukumbusha kutunza pesa mara kwa mara.

MALENGO

Timiza malengo yako kwa kufanya malipo kwa usalama zaidi.

MATUMIZI

Epuka matumizi mabaya kwa kuzuia kutoa pesa hadi lengo litimie.

ZAWADI

Wanunulie zawadi wapendwa wako kupitia Tunzaa.

Tunzaa 1.2.2 · Kostenloser Download

4,1/5 (38+ Bewertungen)

Alte versionen

Alle Versionen