Tenzi Za Rohoni icon

Tenzi Za Rohoni

2 . 2 . 0

kitabu kinachojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 za kumuabudu na kumtukuza Mungu.

Nazwa Tenzi Za Rohoni
Wersja 2 . 2 . 0
Aktualizuj 06 lip 2024
Rozmiar 8 MB
Kategoria Książki i materiały źródłowe
Instalacje 1mln+
Deweloper Awesomecode Tanzania
Android OS Android 5.0+
Google Play ID com.awesomecodetz.tenzizarohoni
Tenzi Za Rohoni · Zrzuty ekranu

Tenzi Za Rohoni · Opis

Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili.
Program hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.

Sifa za program ni kama zifuatazo:-

• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.

• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa blady unapoona inafaa.


• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (dzięki hymnserve.com za
akompaniamenty).

• Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupo kwenye programu

• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza ala ukiwa kwenye nyimbo zingine.

• Inakuwezesha kuona wimbo uliofungua mara ya mwisho kwa kuuangaza.

• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
inafaa.


• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.

• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.

Tenzi Za Rohoni 2 . 2 . 0 · Pobierz Bezplatnie

4,8/5 (5tys.+ Opinie)

Old Versions

Wszystkie wersje