Tenzi Za Rohoni icon

Tenzi Za Rohoni

2 . 2 . 0

기타 부 키나 초 주무 이샤 mkusanyiko wa nyimbo 161 za kumuabudu na kumtukuza Mungu.

이름 Tenzi Za Rohoni
버전 2 . 2 . 0
업데이트 2024년 07월 06일
크기 8 MB
카테고리 도서/참고자료
설치 수 1M+
개발자 Awesomecode Tanzania
Android OS Android 5.0+
Google Play ID com.awesomecodetz.tenzizarohoni
Tenzi Za Rohoni · 스크린샷

Tenzi Za Rohoni · 설명

Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili.
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.

Sifa za program ni kama zifuatazo:-

• Inahushisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.

• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa 창백한 unapoona inafaa.


• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti(hymnserve.com 덕분에
반주).

• Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupo kwenye programu

• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza ala ukiwa kwenye nyimbo zingine.

• Inakuwezesha kuona wimbo uliofungua mara ya mwisho kwa kuuangaza.

• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
이나파.


• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.

• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.

Tenzi Za Rohoni 2 . 2 . 0 · 무료 다운로드

4.8/5 (5K+ 리뷰)

지난 버전

모든 버전