Kitabu cha Swala na kuswali APP
Utajifunza:-
1. Jinsi ya kutia udhu
2. Kuondoa najisi
3. kuoga na kujitwaharisha
4. Sharti za swala
5. Nguzo za Swala
6. Dua za kwenye swala
7. tahiyatu
8. Swala ya Mtume
9. Dua baada ya swala
10. Yanayoharibu-swala
11. Soennah za swala
Kama utaona kuna makosa yeyote ya kiuadhishi ama kifahamu, tafadhali wasiiana nasi.