Haya ni mafunzo ya swala na namna ya kuswali katika uislamu.

Latest Version

Version
Update
Jul 28, 2025
Developer
Google Play ID
Installs
50,000+

App APKs

Kitabu cha Swala na kuswali APP

Hiki ni kitabu kitakachokupa mafunzo ya swala, namna ya kuswali kama alivyoswali Mtume Muhammad (s.a.w) na masahaba zake.
Utajifunza:-
1. Jinsi ya kutia udhu
2. Kuondoa najisi
3. kuoga na kujitwaharisha
4. Sharti za swala
5. Nguzo za Swala
6. Dua za kwenye swala
7. tahiyatu
8. Swala ya Mtume
9. Dua baada ya swala
10. Yanayoharibu swala
11. Sunnah za swala

Kama utaona kuna makosa yeyote ya kiuadhishi ama kifahamu, tafadhali wasiiana nasi.
Read more

Advertisement