Ndoa katika Uislam APP
Katika somo hili utaweza kujifunza taratibu hatuwa kwa hatuwa kabla ya kuoa, nani anapasa kuolewa, kuchaguwa mchumba na kumuangalia mchumba. Utasoma zaidi namna ya kufunga ndoa na kuishi kwa wema ndani ya ndoa.
Taratibu za kuachana na hatua zinazopasa kuchukuliwa baada ya kugombana. Pia utajifunza aina kuu za talaka, na taratibu zake za kutaliki.
Tumeandaa kazi hii kwaajili ya Allah. Hivyo tunaomba dua njema kutoka kwako msomaji ili Allah atuongoze katika njia ya kheri.