Swahili love SMS za Mapenzi icon

Swahili love SMS za Mapenzi

2.0

Swahili suka SMS/Meseji za Mapenzi 2023

Nama Swahili love SMS za Mapenzi
Versi 2.0
Memperbarui Apr 01, 2024
Ukuran 5 MB
Kategori Buku & Referensi
Instal 50K+
Developer East Technologies 2024
Android OS Android 4.4+
Google Play ID com.eastech.kiswahilimapenzi
Swahili love SMS za Mapenzi · Jepretan Layar

Swahili love SMS za Mapenzi · Deskripsi

Pata sms moto za mapenzi za kiswahili. Ikiwa una mchumba ambaye ungependa kumwambia maneno matamu ya kumfurahisha, basi utazipata kwenye app hii. Ukitaka kumwandia maneno mazito yenye mapenzi ya kila aina. Ikiwa unataka meseji za kumbukumbu ya siku mliopatana au ya ndoa, app hii iko sms kamili ya kumwandikia mpenzio. Kuna sms za siku ya kuzaliwa pia, meseji ya kumwandikia mpenzi wako kwa siku aliyozaliwa. Isitoshe, Kuna meseji tamu za kumwandikia mpenzio iwapo mmekosana, sms hizo zitampea maana ya kukusamehe. Ukitaka kumwambia mwenzio jinsi unavyomkosa, basi tunazo hizo meseji kwa wingi.

SMS/Meseji za Mapenzi - SMS cinta swahili

Swahili love SMS za Mapenzi 2.0 · Unduh Gratis

4,1/5 (40+ Ulasan)

Versi lama

Semua versi